LATEST
MSETO 411
MSETO 411 CELEB NEWS MSETO CAMPUS

“Hatuwezi Kukaa Mahali Tunajenga Label Ihali Maisha Yetu Yanabaki Vile Vile”- SHIDA MBILI ( Kenrazy & Visita)

Wasanii Wawili wakali wa humu nchini VISITA na KENRAZY wamefunguka kuhusu chanzo cha wao kutoka Grandpa Government, kupitia mahojiano na kipindi cha JOHARI NTV kinachoongozwa na RASHID ABDALLA, VISITA ameweka wazi kuwa hayuko Grandpa Records, na hakuwahi kuwa Vice President Katika label hiyo “Sikuwahi Sign mahali kuhusu kuwa Vice President Grandpa, nimeamua kutoka kwasababu nimeona […]

Sauti Sol To Perform at MAMAs 2016

Sauti Sol to perform at MAMAs 2016 – they are contenders for a couple of awards after landing two nominations in the 6th edition of the MTV Africa Music Awards (MAMAs). The Kenyan AfroPop supergroup will also be performing during the event to be held in Johannesburg this coming Saturday (October 22). Also lighting up […]

#MsetoVideoOfTheDay- Bao Nishafunga By CML.

She is currently the talk of the town and undoubtedly  a star in the making.Beautiful talented na pia ako na Pumchlines Kibao.Meet CML aka Sweng Boss,the Bao Nishafunga Hitmaker. CML  the Sweng Boss is one of the few artists from Mombasa who is devotedly pushing HipHop Music to a whole new level especially among Femcees.Bao Nishafunga […]
MSETO SPORTS

Yaya Ashambulia CAF

Yaya Toure ametoa mashambulizi ya hasira kwa kuliita shirikisho la soka Afrika (CAF) kwamba halina maadili na huruma baada ya kukosa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka. Kiungo huyo wa Manchester City ambaye ameshinda tuzo hiyo mara nne, alishindwa na mshambuliaji wa Dortmund Pierre- Emerick Aubameyang. Aubameyang aliyezaliwa nchini Ufaransa lakini ni mshambuliaji wa Gabon […]

ARTIESTE OF THE WEEK

What You Didn’t Know About Amani

Everyone knows her as Amani the musician. But there are a few things that many people don’t know about Cecilia Wairimu (Amani) and we shall reveal them to you.   Amani is the eldest in her family followed by her siblings Beatrice and Chris. Her mother discovered that she could sing when she was around […]