Prezzo Amchana Jaguar, Amuita Mshamba, Ni Baada Ya Yeye Kuitwa ‘Socialite’

43
159

Beef ya mafahari wawili wa muziki nchini Kenya, Jaguar na Prezzo haioneshi dalili za kuja kumalizika hivi karibuni. Wiki kadhaa zilizopita, Jaguar alihojiwa kwenye kituo cha redio cha Kenya, Kiss FM na kudai kuwa Prezzo ni socialite wa kiume anayependa sifa.
Tafsiri ya socialite ni: Someone who has money and doesn’t work, instead devoting his/her life to being “socially active.” Socialites go to parties, gather media attention, and essentially “work” at being popular.
“Mimi simchukii Prezzo namheshimu sana lakini akicome tufanye song aache hiyo mambo ya usocialite ana akue mwanaume,” alisema Jaguar kwenye interview hiyo.
Kwa upande wake Prezzo aliyezungumza hivi karibuni na kipindi cha Funiko Base cha Radio5, alidai kuwa hana tatizo na wazo hilo la kufanya wimbo naye lakini akamuonya apunguze kwanza ushamba. “Akipunguza ushamba then mimi na yeye tunaweza kufanya kazi. Lakini ujue jamaa kwangu mimi ana ushamba mwingi yaani. Kuna video kafanya na Mafikizolo angalieni hiyo nyimbo. Kuna sehemu kafanya kile kitu kinachofaa kuwa dub. Ile Jaguar alivyofanya mshkaji wangu ni kama anampiga mtu kipepsi,” alisema Prezzo na kumalizia na kicheko.

Facebook Comments
 • hawa watu ni watu wazima na wanabishana kwa media kama watoto na eti ni marole model kwa mavijana,,disgusting

  • mwangi jaguar doesnt insult prezzo.prezzo is an idiot enjoying inherited riches

  • I agree but,prezo is a mad stray DG,jaguar should stop exchanging words with him,,ukibishana na mjinga utakuwa mjinga

 • bt juguar is a simple guy, nampenda sana..

 • wagombane wasigombane i only recognize jaguar

 • sincerely speaking… nan kaa Jaguar Kenya hii??!!!???

 • salute kwa jaguar humble n down to earth….. actually he is mature

 • <3 (Y) ◄◄ WORKING! See Who Has Blocked Or Deleted You On Facebook! New App 100% Working! See All Changes To Your Friend List. Find Out Here! (Y) (Y) (Y)

 • Hata Prezzo aende ahare mbele ya IEBC,he’ll always be ahead of Jaguar,,talanta anayo

 • Prezzo ako tu,poa

 • This silly guys should join willypaul n bahati waishi pamoja….hawatatusumbua akili hii Nairobi…tuko na stress zetu ya cord nkt

 • Om Saade Vipy

 • Prezo kama kawa

 • Prezzo ashaa juwa wananchi hawampendi aende hell mshenzi yeye.tuna mtambua jaguar he’s mature guy

 • Mbn ckwel 2mezoea store kama hizo kila kukicha unatandani magazeti yatauza nn bila ku2nga visa….

 • a man who drives his fathers range rover should not speak when a boy who owns a bicycle is speaking

 • jaguar is a great guy yeye prezzo ana nn ni msoto mwingi, madawa za kulevya na wivu

 • prezzo acha ufara we unajulikana ki pesa apana ki music Jaguar songs zake zina hits africa

 • Huu mwaka lazima ushangazwe.. Prezo shavu lishachuna kunde Hilo.. Jaguar mpe kioo mwenzio ajiangalie.

 • Afathali huyoo jaguar kuliko yeye niache wivu niaendelee na madawa yake

 • Afadhali kua mshamba kama Jaguar than kua mtu kama prezzo mwenye hajijui

 • Heart u jaguar leave alone this nigga hulinga na vitu za babake

 • prezzo ameshindwa kuchana mistari lililo baki n ma beef tw

 • Wote wawili ni washamba.

 • Prezzo prezzo ndio nini u cant compare huyo mtu hajijui na Jaguar…. Prezzo watuchosha hauna mpango wewe muache Jaguar ni afadhali hata ukahamie TZ.

  • You cant compare yourself na Jaguar…. Advice from me….. Wake up n open your eyes…. Jipange kimaisha uoe na uwache mdomo ujue kumtunza mwanamke.

 • Prezzo mbona majungu

 • ujinga kama hio ndio me huita nonsense, watu wazima hukaa chini na kuongea den wakam out na solution. let dis guys wa style up, mmmm…h!!!

 • Jaguar is my number one artist . say whatever u want to say but still my icon of all the Kenyan male artist.

 • Prezzo umezeekea kwenyu.

 • Nyuma ya Jaguar, chuki wapeleke huuko

 • Off course prezzo ni socialite anafanya nini kwa Nairobi diaries na akina pendo

 • I salute jaguar, prezzo hana jipya ameishiwa yuatafuta kuwa juu tena bt yuashndwa haanzie wpi xo anamdiss mr kigeugeu.

 • jaguar is family man,prezzo ni? I know jaguar,simple and understandable

 • pwahahahaha Aaii wa2 nyie

 • hawa jamaa sijui wanagombania nini..jaguar anaita mwenzake socialite na prezzo anaita mwenzake mshamba..they need to know that growing up is a must but maturing is optional.

 • Eeeh…Tuvaaa…..Tell jaguar to stop bother as an artist ….kip strong jaguar don’t listen dirty words..yuh man

 • Waache Ushoga

 • Hapo ciez say anything ju huyu jaguar time alikua anahojiwa na mzaziz tuva kuhusu stori Fulani ya range loverer ringtone alikua amenunua alisema anapenda watu ka prezzo tena chuki inatokea wap!

 • prezzo and jaguar have something disturbing them that we dont know, the fact that it is upto this extent of insulting each other, then its not about music its personal gradge