“King Kaka Better Watch Your Mouth”- Prezzo Amtishia King Kaka

0
1164

Msanii Jackson Makini ukipenda PREZZO ametokwa mapovu baada ya kuiona ‘caption’ aliyoiweka KING KAKA katika mojawapo ya picha kwenye mtandao wake wa Instagram

 


“…..Na Handshake Na Prezzo/sio yule huimba Yule  Prezzo anaRun Statoe….its time to separate the boys from the King”

PREZZO alionesha kucharuka na post hiyo ya KING KAKA maana Kupitia ukurasa wake wa kijamii naye alitupia video ya binamu yake akifanya mazoezi na bastola huku akiambatanisha na haya maneno

“Kaka Sunguch best watch his mouth my cousin sista finna take care of u”

. Hata hivyo kwa mujibu wa King Kaka mistari hiyo ambayo ipo kwa nyimbo yake ambayo haijatoka haimlengi Prezzo kwa njia moja ama nyingine.

Facebook Comments